Liknande böcker
The Cat, the Fish and the Waiter (Swahili Edition) (English, Swahili and French Edition) ( a children's book) : Paka, Samaki, na Mhudumu Hotelini
Bok av Marianna Bergues
Wakati Peter, mhudumu hotelini mnyenyekevu mjini Paris, anapojitolea kuwatunza wanyama vipenzi wa marafiki zake, paka na samaki wa kigeni mwenye rangi ya chungwa, mambo yanakuwa magumu wakati wanyama hao vipenzi wanapokosekana! Sasa, ni lazima Peter atafute kote mjini Paris akitumia ujuzi wowote ule wa upelelezi ambao mhudumu hotelini huenda akawa nao ili kuwapata wanyama hao vipenzi kabla ya marafiki zake kurejea kutoka likizoni! Je, atawapata wanyama hao kwa wakati? Jiamulie kilicho watendekea wanyama hao huku ukitembea mjini Paris pamoja na Peter na pia ujifunze lugha mpya wakati huo huo! Hadithi hii sio tu ya wanaopenda hadithi za fumbo, lakini pia ya wale wanaopenda kujifunza lugha mpya.